Psalms 41:3-4

3 a Bwana atamtegemeza awapo mgonjwa kitandani,
atamwinua kutoka kitandani mwake.

4 bNilisema, “Ee Bwana nihurumie,
niponye, maana nimekutenda dhambi wewe.”
Copyright information for SwhNEN